Mara baada ya kazi nzito iliyotupeleka Morogoro, ya kupokea Kitu cha Frank Kombe, "Mama Koku", timu nzima ilikaa na kupata picha ya pamoja, kuanzia kushoto waliosimama, Kishadah, Frank, Fortunatus, Edmund, Mrs Fortunatus & Goodluck. Aliyekaa ni Mama Koku na Kennedy.
Timu hii ilimasindikiza Frank, rafiki yao Mpendwa na Mwanachama wa Moshi friends Club katika shuhuli ya ku send off toka kwenye familia ya Kibozi, mama Koku na kumkaribisha kwenye Familia mpya ya Kombe.
Hapa panaitwa KINGSWAY HOTEL, karibu na Msamvu Morogoro.
Tunampongeza Mama Koku kwa Sherehe nzuri na iliyofana.
Baada ya kupiga picha hii, Timu nzima iliyotumwa na Friends Club ilianza safari ya kurudi Moshi.
No comments:
Post a Comment