Wanachama wote wa Moshi Friends Club, mnaombwa kuwakilisha michango yenu ya Harusi ya Frank Kombe kwa "Lulu au Neville" kabla ya kesho jumatano. Ni muhimu sana ili iweze kumsaidia pale alipokwama katika suala zima la Harusi yake, siku ya Jumamosi tarehe 27/11.
Mchango wako ni Muhimu sana
No comments:
Post a Comment