Tuesday, November 30, 2010

RE: SUPUUUU YA JUMAPILI TAR 28/11/2010



Raha ya Supu ya Asubuhi mara baada ya kazi nzito ya Harusi usiku wake. Hapa ni nyumbani kwa Bi mashuhuli STELLAH.
Maharusi nao hawakua nyuma kupata supu, pamoja nao alikuwepo Kishadah, Mr & Mrs Edmund, Vince, Vanessa, Evan, Eden na Dosca, kwa bahati mbaya hawakuonekana kwenye picha.
Wiki ijayo Supu wapi?

No comments:

Post a Comment