Tuesday, November 30, 2010

RE: USIKU WA HARUSI YA FRANK

Raha ya harusi mwishoni jamani, hii ikiwa ni kama majira ya saa 8 usiku baada ya maharusi kuondoka ukumbini, watu wanajimwaga.
Picha ya kwanza Mwenyekiti wa kamati akiwa na Mkewe wanaraha ya kumaliza Shuhuli salama.
Picha ya Pili, maharusi wa karibuni tuuu, Bw na Bi Salakana, pole Bi Salakana kwa uchovu, huwa ndo kawaida ya hawa vijana mara baada ya kumaliza Harusi,
Picha ya Tatu, Mshehereshaji Ntoli akiwa na Wapiga picha Swai na Patric huku wakiwa na Daktari wa KCMC wakimalizia vinywaji vya mwisho mwisho huku wakijadiliana mambo ya hapa na pale.
Picha ya nne, Mwenyekiti Msaidizi wa Kamati akiwa anagugumia kwa raha mara baada ya Harusi
Picha ya Tano, baadhi tu ya Vionjo vya Harusi
Picha ya Sita: Mama wa Pilika na Katibu wa Kamati Bi Stellah akiwa na swahiba wake Dosca wakisaidiana kumalizia kazi za hapa na Pale.
Poleni na Hongereni kwa kazi nzuri ya Harusi.
Nyingine Zinakuja

No comments:

Post a Comment